TUNAWAPA POLE WAISLAAM WOTE NA WAUMINI WOTE WA KIISLAAM POPOTE WALIPO (HUSUSAN) WAFUASI WA AHLUL-BAIT (A.S) KUTOKANA NA MASAIBU MAKUBWA YENYE KUTIA MACHUNGU NA HUZUNI KUBBWA YALIYOJIRI DHIDI YA IMAM HUSEIN (A.S) NA WAFUASI WAKE KATIKA JANGWA LA KARBALA.

Jipatie baadhi ya habari muhimu za dunia na Makala Muhimu kutoka:www.imamtaqee.org

Image
Maulid ya kuzaliwa kwa Sayyidat Fatima Az-Zahraa (a.s)
Friday, 11 May 2012
Ndugu msomaji Tarehe 20, Jamaduth-thani, ni tarehe ambayo nuru ya Mwenyeezi Mungu (s.w) ilienea kote mjini Makka kwa kuzaliwa Kipenzi cha Mjumbe wake Muhammad (s.a.w.w),kipenzi huyo wa Muhammadو si mwingine bali ni Kauthar,Fatimatuz-Zahraa (a.s). Ni Fatima Zahraa,Sayyidat Nisail-Alamin,kwa hakika ndugu msomaji, Bi. Zahra (a.s) haihitajii... Read more...
Image
Fatima (a.s), ni kigezo bora cha mapambano na kusimama kidete
Monday, 12 December 2011
Kuwepo kwa shakhsia adhimu kama Bibi Fatima al Zahra (as) katika dini ya Kiislamu kunadhihirisha mtazamo wa hali ya juu wa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu kwa nafasi na hadhi ya mwanamke.   Hii leo Waislamu ndiyo wanaounda jamii ya pili kubwa zaidi ya kidini duniani. Jamii hiyo ambayo inakadiriwa kuwa ni zaidi ya watu bilioni moja na nusu,... Read more...
Image
Kuzaliwa kwa Fatima Zahraa (a.s): "Hakika sisi tumekupa Kauthar"
Tuesday, 24 May 2011
Leo ni Jumanne tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jamadu Thani 1432 Hijria inayosadifiana na tarehe 24 Mei 2011 Miladia. Assalaam Alaikum ndugu Waislaam. Siku kama ya leo miaka 1440 iliyopita, sawa na tarehe 20 Jamadul Thani mwaka wa 8 kabla ya hijra, alizaliwa Fatimatuz Zahra (A.S) binti wa Mtume Mtukufu Muhammad (S.A.W). Bibi huyo mtukufu tangu utotoni... Read more...
Image
Muhammad (s.a.w.w) katika Kalamu za Waandishi
Sunday, 11 July 2010
MUHAMMAD  (S.A.W.W) NI NANI? Bismillah Ar-rahmaanir-rahiim. Ndugu Msomaji: Assalaam alaikum Warahmatullah taala wabarakaatuh. MUHAMMAD  (S.A.W.W) NI NANI? Swali hili husumbua sana vichwa vya walio wengi miongoni mwa Wapenzi wa Muhammad (s.a.w.w) na Maadui zake kwa usawa.Kwa maana kwamba sawa sawa awe adui wa Muhammad au mpenzi wa Muhammad... Read more...
Image
Fadak ya Fatima Zahra (s.a) ni tukio la kihistoria lisilosahaulika daima dawamu
Tuesday, 25 February 2014
FADAK YA FATIMAH ZAHRA (S.A)   Assalam Alaikum ndugu Msomaji wa makala hii: Tukio la kihistoria lisilosahaulika na litakalobaki daima dawamu katika kurasa za Historia ya Kiislam ni tukio la Fadak. Tunaposema tukio la Fadak tunamaanisha kisa kizima kinachohusiana na Fadak,Fadak ambayo imethibiti Kifiqhi na Kihistoria kuwa ilikuwa ni Mali Mahsusi... Read more...
Image
Kisa cha Hadithi ya Karatasi katika wasia wa Mtume (s.a.w.w)
Tuesday, 04 February 2014
UANDISHI WA BARUA YA MTUME (S.A.W.W)BISMILAHI RAHMANI RAHIYMIKISA CHA UANDISHI WA BARUA (WASIA WA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W). AU TUKIO LA KIHISTORIA KUHUSIANA NA HADITHI YA KALAMU NA KARATASI حديث القلم و القرطاس : إيتوني بقلم وقرطاس Ufafanuzi wa kisa hicho ni kama ifuatavyo:(Pindi Mtume alipofikiwa na kipindi cha... Read more...
Image
MAANA YA AYA YA 97 NDANI YA SURATUL-BAQARAH AMBAYO WAKRISTO HUWA HAWAIELEWI MAANA YAKE
Monday, 17 March 2014
TARJUMA YA AYA HIYO WENGINE (BAADHI TU) HUSHINDWA KUIELEWA HASA WALE WAKRISTO NA KUITUMIA AYA HIYO KAMA SHUBHA WAKIDAI KUWA QUR'AN TUKUFU IMETEREMSHWA NA ADUI SHETANI KWA MTUME (S.A.W.W) AMBAYE NI ADUI WA JIBRAIL (A.S).TARJUMA (AU TRANSLATION) INAYOWACHANGANYA MAADUI WA UISLAM KUNAKO AYA HIYO TUKUFU NI HII HAPA:"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril,... Read more...
Image
MAUMIVU YA "UKOSOLEWAJI" NI HEKIMA YA MWENYEEZI MUNGU (S.W).
Wednesday, 12 February 2014
"FALSAFA YA FIKRA" (Philosophy of Thought). Assalam Alaikum: Kwanza kabisa nijipongeze mwenye binafsi kwa kuwa mmoja wapo wa watumiaji wa mitandao safi ya kijamii nikimaanisha (mitandao yote ya kijamii zikiwemo Tovuti kama hii).Kisha pongezi zimfikie kila wenye tabia ya kusaka faida katika  mitandao kama hii iliyojaa mafunzo na maelekezo... Read more...
Image
Nini maana ya Taqwa na Uchamungu ndio nini?
Tuesday, 14 January 2014
SWALI: NINI MAANA YA UCHAMUNGU?Muulizaji:Assalam Alaikum.Naomba kufahamishwa:Hivi neno “Taqwa” lenye maana ya Ucha Mungu huwa lina maana gani?. Au huu huu Ucha Mungu ndiyo nini?. Jawabu kwa Muhtasari:Waalaikumus-salam na asante sana kwa swali la kimantiki kama hilo, na jawabu lake kwa muhtasari litakuwa kama ifuatavyo:Taqwa (ucha Mungu) ni... Read more...

Tumia makala yoyote ile iliyopo ndani ya Tovuti hii, sambamba na kutaja vyanzo vyake.

SIRI ALIYOSHUKA NAYO NABII ADAM {A.S} YAFICHUKA
Image
Wanadamu wengi hawajatambua kinachoendelea duniani,mazingira ya vituvilivyowazunguka na vinavyowaathiri katika maisha yao.Kila unachokiona mbele yako...
KWA NINI MIMI SIO MKRISTO: (NI MAZUNGUMZO KATI YA UISLAM NA ...
Image
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Assalam Alaikum: Kwa mujibu wa mtazamo wa Uislam Hadhrat Maryam (s.a) ni mwanamke...
WAHENGA WALISEMA:UKIMCHIMBIA SHIMO MWENZIO ILI ADUMBUKIE,BAS...
Image
Tizama video hii uone jinsi inavyokwenda sambamba na msemo huo wa wahenga wa Lugha ya Kiswahili.Ni video ikiwaonesha wale kundi la Mawahhabi wa...
Video Magaidi wanamnyonga Msichana hadharani baada ya kukata...
Image
Subhanallah: Wala (Mawahhabi/wanaojiita Salafi ----wafuasi wa Banu Umaiyya----) Wanaodai Uhuru na Demokrasia tizama wanavyo mnyonga kijana mdogo wa...
test
         
“Umuhimu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,falsafa yake pamoja ...
Image
Bismillah Ar-Rahman Ar-Rahim   Sifa zote njema ni za Mwenyeezi Mungu,Mola Mlezi wa viumbe vyote.Na sala na salam ziwe kwa mwenye kubashiri na kuonya...
Tafsiri ya Dua Tukufu ya Mwezi wa Rajab,inayosomwa kila baad...
Image
DUA TUKUFU YA MWEZI WA RAJABU INAYOSOMWA BAADA YA KILA SWALA.Assalaam alaikum:Riwaya nyingi zimekuja zikisisitiza ubora wa dua hii, na kwamba isomwe...
Historia kwa muhtasari kuhusu Muqawamah wa Lebanon (Hizbolla...
Image
HISTORIA FUPI KUHUSU HIZBULLAH,MUQAWAMAH WA LEBANON,MALENGO YA KUASISIWA KWAKE.JE,UGAIDI NI MOJA YA MALENGO YA HIZBULLAH KAMA WASEMAVYO MAADUI WA...
Mjue Hadhrat Bilal Bin Raba'h Al-habashi (R.A).
Image
BISMILLAH AR-RAHMAN AR-RAHIM ASSALAAM ALAIKUMQur’an Tukufu ni kitabu cha uwongofu,chenye hoja za uwongofu zilizowazi na bayana,ni kitabu Kitukufu...
KUMSWALIA KULIKO SAHIHI BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) KAMA ...
Image
KUMSWALIA  MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) KAMA ALIVYOTUFUNDISHA Assalam Alaikum ndugu unayesoma makala hii kwa muda huu.Aya Tukufu iliposhuka...
Fadak ya Fatima Zahra (s.a) ni tukio la kihistoria lisilosah...
Image
FADAK YA FATIMAH ZAHRA (S.A)   Assalam Alaikum ndugu Msomaji wa makala hii: Tukio la kihistoria lisilosahaulika na litakalobaki daima dawamu katika...
HAKI ZAWANAWAKEKATIKAUISLAMU
Image
Ndugu Msomaji,kitabu hiki kinahusiana na Haki za Mwanamke katika Uislaam,ni kitabi kuzuri sana kimemzungumzia mwanamke kw aupana zaidi,amezungumziwa...
Mwanamke Mshirika Katika Maisha
Ni lazima tutofautishe kati ya mafunzo ya dini kwa mwanadamu na wanaadamu wenyewe wanaoifuata hiyo dini, kwani huenda ikawa hao wanaofuata dini...
MAANA YA AYA YA 97 NDANI YA SURATUL-BAQARAH AMBAYO WAKRISTO...
Image
TARJUMA YA AYA HIYO WENGINE (BAADHI TU) HUSHINDWA KUIELEWA HASA WALE WAKRISTO NA KUITUMIA AYA HIYO KAMA SHUBHA WAKIDAI KUWA QUR'AN TUKUFU...
Qur'an Tukufu ni mhimili na nguzo kuu kwa waislaam
Image
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (as) amesema ili kuweza kukomesha hitilafu zilizopo Waislamu kote duniani wanapaswa kuifanya...
JE, INAJUZU KUJITETEA NAFSI YAKO KWA “KUMTUKANA DHALIMU AL...
Image
Ghadhabu za mwenye akili zipo katika matendo yake. Na Ghadhabu za Jahili (Mjinga) zipo katika kauli yake. Swali : Je,naruhusiwa kumtukana mtu...
MAUMIVU YA "UKOSOLEWAJI" NI HEKIMA YA MWENYEEZI MUNGU (S.W).
Image
"FALSAFA YA FIKRA" (Philosophy of Thought). Assalam Alaikum: Kwanza kabisa nijipongeze mwenye binafsi kwa kuwa mmoja wapo wa watumiaji wa mitandao...
Masharti makuu mawili na muhimu yanayotakiwa kuzingatiwa na ...
Image
Masharti ya Uongozi Masharti Mawili Makuu Masharti ya dharura ya uongozi yanatokana moja kwa moja na muundo wa serikali ya Kiislamu. Baada ya...
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji - Mwaka 1434 Hijria...
Image
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji -1434 Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemuHamdu zote ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa...
Kipofu zaidi kuliko watu wote kwa mujibu wa kauli ya Imam Al...
Image
Amesema Amirul-Muuminin,Ali bin Abi Talib (a.s):Kipofu zaidi kuliko watu wote ni yule atakayepofuka na kushindwa kuwa na mapenzi juu yetu wala...
Waislam Tunajivunia kuwa na Mtume Muhammad (s.a.w.w) Shujaa ...
Our Prophet,Muhammad (S) was a war hero in the battlefield against the enemy.IMAM ALI BIN ABI TALIB (A.S) ANASEMA: "Pindi vita vinapokuwa vikali na...
Ambaye Mwenyeezi Mungu (s.w) kamfungulia kifua chake huzungu...
Image
"Je! Yule ambaye Mwenyezi Mungu amemfungulia kifua chake kwa Uislamu, na akawa yuko kwenye nuru itokayo kwa Mola wake Mlezi (ni sawa na mwenye moyo...
Tafsiri 2 : Suuratul-Baqarah
Image
بسم الله الرحمن الرحيم          الم {الم} الله أعلم بمراده بذلك. الم Alif Lam Mim.    ...

Kuhusu Tovuti hii

Kwa jina la Allah Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu.

Read more

 

Vinaora Visitors Counter

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday17
mod_vvisit_counterYesterday1048
mod_vvisit_counterThis week4017
mod_vvisit_counterLast week16230
mod_vvisit_counterThis month72004
mod_vvisit_counterLast month4391
mod_vvisit_counterAll days1044606

We have: 13 guests, 1 bots online
Your IP: 50.17.162.174
 , 
Today: Apr 25, 2014

Picha za Maulamaa

 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow
 • An Image Slideshow

Picha Mbalimbali

 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image
 • Slide show image

قُل هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ - Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee

Mkumbuke M/Mungu (s.w)

Kuna faida ipi ya kumkumbuka Mwenyeezi Mungu (s.w)?."Ukitaka kujua". soma zaidi

Maoni ya wasomaji wetu

HADITHI TUKUFU YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W).
jazakaallah kheri
Iran Yazindua ndege mpya ya Kivita iliyotengenezwa
ineed to know howa make the airplane
Yanga yapiga bao
Chuma Salehe nayopa@Sio haram kutizama mpira wala kuusikiliza kwa redio wala kuucheza.
Yanga yapiga bao
Ipi hukumu ya kuangalia mpira katika uislam

Who's on line

We have 14 guests online

Hakuna kama siku yako Ewe Husein (a.s)